Monday, July 18, 2011

Chadema ndani ya Shinyanga - Feb 28, 2011

WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

==============
KATIKA PICHA:




No comments:

Post a Comment